ARUSHA: Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Elimu, Reuben Kagilwa, ametoa ...
MOROGORO: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Prof. Riziki Shemdoe amemuelekeza ...
MOROCCO; Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amewasili nchini Morocco kwa ziara maalumU ya kikazi ...
SINGIDA; Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amewasili wilayani Manyoni ...
DAR ES SALAAM: SERIKALI imeombwa kupunguzu ushuru wa kodi za magari nchini ili kuwapa Watanzania wenye vipato vya kati na ...
MSATA: Mkuu wa Utumishi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Meja Jenerali Marco Gaguti amefunga rasmi zoezi la Medani la EX- MALIZA lililofanywa na Kuruti wa Kundi la 44/25 katika eneo la Msat ...
DODOMA: Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imezindua kituo cha kupoza na kusambaza meme cha Mtera (2x10MVA, 220/33kV), ambacho ...
MOROGORO; WANAFUNZI 1,200 wa darasa la kwanza shule za msingi kwenye halmashauri tisa za mkoa wa Morogoro wanatarajia ...
KIGOMA; WATU wawili wamejeruhiwa kwa moto baada ya boti ya mizigo inayojulikama kwa jina la Mv Suala la Muda kuteketea kwa ...
MBEYA; JESHI la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia mkazi wa kijiji cha Madundasi kilichopo wilayani Mbarali, Doto Lubongeja ...
Makamu wa Balozi Dk Emmanuel Nchimbi amesema Serikali imejizatiti kuhakikisha Sekta ya Uchukuzi inaimarika ili kuliweka Taifa ...
DAR ES SALAAM; Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais MIpango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo, amesema serikali inakusudia kutoa ...